Kislovakia
| Kislovakia | ||||||||||||||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| Kinamzungumzwa nchini: | Slovakia, Ucheki, Vojvodina (kwa 2,79% ya watu) Marekani, Kanada, Australia, Hungaria, Croatia na Ukraine | |||||||||||||||||||||||||
| Wazungumzaji: | Milioini 6 | |||||||||||||||||||||||||
| Lugha rasmi: | ||||||||||||||||||||||||||
| Nchi: | Slovakia | |||||||||||||||||||||||||
| Uainishaji wa kiisimu: | ||||||||||||||||||||||||||
|
||||||||||||||||||||||||||
Kislovakia ni lugha rasmi inayoongelewa nchini Slovakia, nchi iliyopo Mashariki mwa Ulaya. Ni moja kati ya Lugha za Kislavoni, mkusanyiko wa lugha unajumlisha Kirusi, Kipoland na lugha nyingine kadhaa za Mashariki ya Ulaya.
Lugha hii inafanana kabisa na Kicheki, na Wacheki na Wasovakia wanaweza kuelewana vizuri kabisa wakiwa wanazungumza lugha zao. Kipoland na Kisorbia kina fanana kabisa. Kislovakia kinazungumzwa nchini Slovakia na zaidi ya watu milioni 5.
Matamshi [hariri]
Kislovakia kinaandikwa kutumia alfabeti za Kilatini, lakini kuna viji herufi fulani ambavyo viji harama maalum (vinaitwa “diacritics”).
Herufi č, š, ž and dž zina sauti kama ile ya Kiingereza katika chin, shin, vision na juice.
Herufi ď, ľ, ň, and ť huitwa “konsonanti nyepesi”. Hutamkwa kwa kukata ulimi juu kabisa ya mdomo.
C, dz na j nazo pia ni nyepesi. C ipo kama ts katika bats, dz ipo kama ds katika rods, na j ipo kama y katika yes.
Alama zake katika voweli huonyesha kwamba voweli hutamkwa kwa urefu zaidi: á, é, í, ó, ý ú. Voweli ndefu haifuati katika silabi inayofuata kwa kutumia voweli fupi.
Ile ô ipo kama Kiingereza wombat, na ä ni sawa na herufi e.
Ch ipo kama ch katika Kiscoti loch. V ni zaidi ya Kiingereza w.
Herufi b, d, ď, dz, dž, g, h, z, ž hazisikiki pale wakiwa wanamalizia (kwa mfano: 'd' itasikika kama 't').
Kistress ndiyo inayotumika kuanzishia silabi ya neno. Hii ni tofauti kabisa na Kirusi, kwa mfano, wapi Kistress kinaweza kikawa.
Kama jinsi ilivyo katika lugha zingine za Kislavoni, Kislovakia ni vigumu kwa wazungumzaji wa Kiingereza kuweza kutamka. Hii hasa kwa sababu maneno kadhaa yameambatanisha konsonanti nyingi kuwa pamoja. Katika sentensi: “Strč prst skrz krk!” hakuna hata voweli moja (ina maana: “Zungusha vidole kwenye shingo yako!”)! Viambishi ni mofimu au viungo vyenye maana ambavyo hufungamanishwa na mzizi/shina la neno ili kulipa neno hilo maana mbalimbali za kisarufi kama vile nafsi, wakati, hali, urejeshi, n.k Viambishi awali ni vile vinavyotangulia mzizi wenyewe, yaani huwa kabla ya mzizi/shina. SHINA AU MZIZI: Hakuna tofauti kati ya shina na mzizi MZIZI/SHINA, Ni sehemu ya neno inayobeba maana yake kuu na huwa haibadiliki, Kwa mfano, tuangalie vitenzi vifuatavyo: a-na-LIM-a wa-li-LIM-i-a ni-ta-LIM-iw-a wa-na-vyo-LIM-a Ukiangalia kwa makini, utaona kuna sehemu ya kitenzi hiki ambayo haibadiliki katika mifano ya hapo juu. Sehemu hiyo ni (-LIM-). Na hii ndiyo shina au mzizi wa kitenzi LIMA. Mfano mwingine: a-li-ki-SOM-a hu-SOM-ew-a wa-li-SOM-e-an-a a-li-m-SOM-e-a i-li-SOM-w-a Tunaona hapa mzizi/shina la kitenzi SOMA, ni -som- Ili utambue shina/mzizi wa kitenzi unafaa kuwazia hali mbalimbali au kauli tofautitofauti za mnyambuliko wa kitenzi halafu ubainishe sehemu isiyobadilika.