Ziwa Babati
Mandhari
4°15′S 35°44′E / 4.250°S 35.733°E
Ziwa Babati ni ziwa dogo nchini Tanzania. Liko upande wa kaskazini, katika mkoa wa Manyara. Ni maarufu kwa viboko wake.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Babati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |