Nenda kwa yaliyomo

Zarina Bhimji

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zarina Bhimji
Amezaliwa 1963
Mbarara
Nchi Uganda
Kazi yake mpiga picha

Zarina Bhimji (alizaliwa Mbarara, Uganda, 1963[1]) ni mpiga picha wa Uganda mwenye asili ya bara la Asia, kazi zake anazifanyia jijini London.

Mwaka 2007 aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Turner Prize,[2] zilifanyika huko Documenta 11 mnamo 2002,[3] na kuwakilishwa katika makusanyo kwa ajili ya uma kwenye jumba la makumbusho la Tate Britain mahususi kwa ajili ya maonyesho na Sanaa huko Chicago na jumba la makumbusho la Moderna Museet jijini Stockholm.

Maisha na Kazi

[hariri | hariri chanzo]

Bhimji alipata elimu yake katika shule ya Leicester Polytechnic 19821983 katika chuo cha Goldsmiths 1983–1986 na [[Slade School of Fine Art, chuo kikuu cha London University College London 1987–1989.[4] kazi yake ilionekana katika Kamera ya Ubunifu mwezi Aprili1990,[5] and in a landmark issue of Ten.8 magazine as early as 1992.[6]

Mnamo mwaka 2001, Bhimji alifanya maonyesho yake ya kwanza kwa jina la Cleaning the Garden, katika jumba la Sanaa la Talwar Gallery, huko New York, Marekani[7].

Alishishiriki kwenye maonyesho ya documenta 11 yaliyofanyika Juni hadi Septemba 2002 akiwa na filamu yake ya 16 mm.[8]

Kuanzia 2003 mpaka 2007, alisafiri sana maeneo ya India, Afrika Mashariki na Zanzibar, akisoma kuhusu utawala wa waingereza katika nchi hizo, akifanya mahojiano na kupiga picha.[9]

Mwaka 2003 Bhimji alipata tuzo kutoka Shirika kuu la kimataifa la upigaji picha ‘’International Center for Photography’’.[10]

monografia ya Zarina Bhimji, imechapishwa na Ridinghouse mwaka 2012.

Mwaka 2007, alipenya na kuteuliwa katika tuzo za upigaji picha kwa jina la ‘’Turner Prize’’ za nchini Uganda. Dhima ilikua visa vya Idi Amin kufukuza wakazi wa bara la Asia na hasara zilizotokea baada.[11] Picha zake zilionyeshwa katika jumba la Sanaa la ‘’Haunch of Venison’’ jijini London na huko Zurich.[9] Maonyesho yake katika tuzo za ‘’Turner Prize’’ ilihusisha filamu ya jina la Waiting, iliyokua na mandhari ya kiwanda cha katani.

Kichanja cha Sanaa cha ‘’Tate’’ kinaelezea kwa kina kazi zake:{{cquote|picha za Bhimji zinaonyesha ufuatiliaji wa binadamu katika mandhari tofauti pamoja na usanifu. Kuta ni motisha za mara kwa mara zinazomvutia kufuatilia historia kwani huwa kumbukumbu kwa wale waliojenga, wakaishi humo na baadae kuhama. Ingawa hapakuwa na kielelezo cha mwili, picha zilitoa mwanga wa uwepo wa mwanadamu. Marejeo kwa wakati mwingine huwa wazi-safu za bunduki zipo zinasubiri matumizi wakati wa ‘’usingizi haramu’’, na bado wakati mwingine ilimaanisha– waya wa umeme, iliyoninginia, pasipo kuunganishwa choma moyo wangu ... Bhimji alipiga picha mandhari yake, akiwa na lengo la kuonyesha sifa na hisia za mwanadamu wa kawaida na uwepo, sononeko, uwepo, upendo na matumaini. Sehemu halisi hugeuka kuwa muhtasari wa hisia na midundo halisia ya mandhari na usanifu huwa saikolojia.[9]

  1. Phaidon Editors (2019). Great women artists. Phaidon Press. uk. 62. ISBN 978-0714878775. {{cite book}}: |last1= has generic name (help)
  2. Tate. "Turner Prize 2007 shortlist announced – Press Release | Tate", Tate. (en-GB) 
  3. "Zarina Bhimji". www.zarinabhimji.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-29. Iliwekwa mnamo 2018-10-29. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  4. "Education" Archived Mei 14, 2007, at the Wayback Machine, zarinabhimji.com Education page. Retrieved 21 May 2007.
  5. "Zarina Bhimji". www.zarinabhimji.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-02. Iliwekwa mnamo 2019-09-02. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. 'Critical Decade: Black British Photography in the 80s', Ten.8 vol. 2, no. 3, 1992
  7. "Zarina Garden-Press Release". Talwar Gallery. Iliwekwa mnamo 2018-11-16.
  8. "Documenta 11". frieze.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2019-03-13.
  9. 9.0 9.1 9.2 "Turner Prize: The shortlisted artists" Archived Novemba 21, 2007, at the Wayback Machine, Tate online. Retrieved 29 November 2007.
  10. "2003 Infinity Award: Art". International Center of Photography (kwa Kiingereza). 2016-02-23. Iliwekwa mnamo 2019-03-13.
  11. Reynolds, Nigel, "Iraq protest camp shortlisted for Turner Prize" Ilihifadhiwa 8 Mei 2007 kwenye Wayback Machine. The Daily Telegraph online, 10 May 2007. Retrieved 21 May 2007.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zarina Bhimji kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.