Wilaya ya Ubungo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

(makala hii inahusu wilaya ya Ubungo, kuangalia makala ya kata ya Ubungo bonyeza hapa)


Wilaya ya Ubungo
Wilaya ya Ubungo is located in Tanzania
Wilaya ya Ubungo
Wilaya ya Ubungo

Mahali pa Ubungo katika Tanzania

Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E / -6.79500; 39.26611
Nchi za Tanzania
Mkoa Dar es Salaam
Wilaya Kinondoni

Ubungo ni jina la wilaya mojawapo ya Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania yenye postikodi namba 16000[1]. Ubungo inafahamika sana Tanzania kama kitovu kikuu cha Mabasi yaelekeayo mikoani pia ni sehemu ya pekee ttanzania ambayo ina barabara za juu

Kituo cha mabasi cha Ubungo kimeungana na baadhi ya vituo vikubwa vya miji mbalimbali ya Tanzania kama vile cha Arusha, Moshi, Morogoro, Dodoma, Mbeya, Iringa, Mtwara, Lindi, Singida, Tanga na Mwanza; vilevile hadi Nairobi, Lilongwe, Lusaka na miji mingine kadhaa ya Afrika ya Mashariki.

Pia Ubungo ndipo palipo makao makuu ya Tanesco, shirika la umeme la Tanzania.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania

Goba | Kibamba | Kimara (Ubungo) | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo