Volodymyr Zelensky

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Zelensky wakati wa sherehe ya kuapishwa.

Volodymyr Oleksandrovych Zelensky (alizaliwa 25 Januari 1978) ni mwanasiasa, mwandishi wa filamu, mwigizaji wa filamu, mchekeshaji na rais wa sasa (wa 6) wa Ukraine toka 20 Mei 2019.

Kabla ya kujihusisha na siasa, alipata shahada ya sheria na baadaye akaanzisha kampuni ya filamu, katuni na vipindi vya ucheshi vya televisheni, Kvartal 95.[1]

Kati ya miaka 2015-2019, Kvartal 96 ilirusha mfululizo wa vipindi vya televisheni vilivyoitwa Servant of the People ambapo Zelensky aliigiza kama Rais wa Ukraine. Chama cha siasa Servant of the People kilianzishwa Machi 2018 na wafanyakazi wa Kvartal 05.[2][3]

Tarehe 31 Desemba 2018, Zelensky alitangaza rasmi kuwa atagombea urais.[4] Miezi sita kabla ya kutangaza nia yake ya kugombea urais, alikuwa tayari kati ya wagombea waliokuwa wakiongoza kwenye kura za maoni.[5][3] Zelensky won the election with 73.22% of the vote, defeating incumbent Petro Poroshenko.[6]

Filamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Nafasi
2009 Love in the Big City Igor
2011 Office Romance. Our Time Anatoly Efremovich Novoseltsev
2012 Love in the Big City 2 Igor
2012 Rzhevsky Versus Napoleon Napoleon
2012 8 First Dates Nikita Sokolov
2014 Love in Vegas I gor Zelensky
2015 8 New Dates Nikita Andreevich Sokolov

Televisheni[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Nafasi Notes
2006 Dancing with the Stars mshindani
2008–2012 Svaty mtayarishaji
2015–2019 Servant of the People Vasyl Petrovych Holoborodko, mwalimu wa historia/Rais wa Ukraine

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Volodymyr Zelensky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.