Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Mugirango Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka South Bogirango)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Mugirango Kusini ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kisii.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa kwanza wa Kenya chini ya Mfumo wa vyama vingi vya Kisiasa mnamo 1992.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1992 Reuben Oyondi KANU
1997 Enoch Nyakieya Magara Ford-K Magara aliaga dunia katika ajali ya gari mnamo 2001 [2]
2001 James Omingo Magara Ford-K Uchaguzi Mdogo
2002 James Omingo Magara Ford-People
2007 James Omingo Magara ODM Mahakama Kuuu ya Kenya ilikitangaza kiti hicho wazi mnamo Desemba 2009 due to irregularities in the election [3]
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Bogetenga 3,590 Nyamarambe (Mji)
Boikanga East 2,758 Nyamarambe (Mji)
Boikanga West 2,945 Nyamarambe (Mji)
Bomonyara 2,757 Tabaka (Mji)
Borabu 8,119 Gucha County
Central / Ikoba 3,425 Tabaka (Mji)
Chitago 3,664 Gucha County
Getenga 11,088 Gucha County
Nyachenge 1,110 Tabaka (Mji)
Nyango / Kiburunga 2,850 Tabaka (Mji)
Nyansore 4,662 Nyamarambe (Mji)
Jumla 46,968
*Septemba 2005 [4].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. Daily Telegraph, 3 Agosti 2009: Dismissed minister shot dead in Kenya
  3. Daily Nation, 17 Desemba 2009: Magara loses South Mugirango seat
  4. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency