Rikardo wa Lucca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mt. Richard wa Sussex katika dirisha la kioo cha rangi huko St Ricarius Church, Aberford.

Rikardo wa Lucca (Wessex, Uingereza, karne ya 7 - Lucca, Toscana, Italia, 3 Aprili 722) alikuwa Mkristo wa Uingereza ambaye alifuata sana dini yake na hatimaye alifariki wakati wa hija yake kwenda Roma.

Kati ya watoto wake, watatu[1] wanaheshimiwa kama watakatifu, sawa na naye mwenyewe[2]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Februari[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.