Pyotr Ilyich Tchaikovsky
Mandhari
(Elekezwa kutoka Pyotr Tchaikovsky)
Pyotr Ilyich Tchaikovsky (kwa Kirusi: Пётр Ильич Чайковский, Pëtr Il’ič Čajkovskij; sikiliza ?) (alizaliwa Kamsko-Votkinsk, 7 Mei 1840 - mjini St. Petersburg, 6 Novemba 1893) alikuwa mtunzi na mwanasanaa mbalimbali kutoka nchini Urusi.
Yeye ni mashuhuri zaidi ya watunzi wengine wote wa kutoka nchini Urusi. Alitunga ala nzuri na zilijawa na simanzi-kusitisha. Alijifunza na kufuata mwenendo wa muziki wa kutoka Magharibi mwa Ulaya, lakini miziki yake yote ilikuwa ikisikika sana kwa mwundo wa Kirusi.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tchaikovsky Research (active site)
- Istituto Musicale Tchaikovsky (Italy) (active site)
- Tchaikovsky (inactive site)
- Tchaikovsky page (inactive site)
- PBS Great Performances biography of Tchaikovsky Ilihifadhiwa 10 Novemba 2013 kwenye Wayback Machine.
- Tchaikovsky cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Tchaikovsky's sacred works by Polyansky Ilihifadhiwa 11 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Biography of Pyotr Ilyich Tchaikovsky at the John F. Kennedy Center for the Performing Arts
Public Domain Sheet Music:
- www.kreusch-sheet-music.net Free Scores by Tchaikovsky
- Mutopia Project Tchaikovsky Sheet Music at Mutopia
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pyotr Ilyich Tchaikovsky kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |