Orodha ya viwanja vya michezo vya Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Hii ni orodha ya viwanja vya mchezo wa mpira wa miguu nchini Misri, imevipanga kulingana na uwezo wa uwanja kuchukua mashabiki, viwanja vingi nchini Misri vina uwezo wa kuchukua kuanzia mashabiki 10,000 na zaidi, uwanja mkubwa zaidi unatumiwa na shirikisho la mchezo wa soka,riadha na rugby[1]

Orodha[hariri | hariri chanzo]

# Uwanja Uwezo Unakopatikana Timu ya Nyumbani Kufunguliwa
1 Borg El Arab Stadium 86,000 Borg El Arab Egypt football team & Al-Masry SC 2007
2 Uwanja wa michezo wa Kimataifa wa Cairo 75,000 Cairo Egypt football team & Al Ahly SC & Zamalek SC 23 July 1960
3 Egyptian Army Stadium 45,000 Suez Petrojet FC 2009
4 Arab Contractors Stadium 35,000 Cairo Al Mokawloon & FC Masr 1979
5 30 June Stadium 30,000 Cairo Wadi Degla SC 2009
Al-Salam Stadium 30,000 Cairo El-Entag El-Harby SC 2009
Uwanja wa michezo wa Beni Ebeid 30,000 Bani Ebid Beni Ebeid SC
8 Uwanja wa michezo wa Ghazl El Mahalla 29,000 El Mahalla Baladeyet El Mahalla & Ghazl El Mahalla & Said El Mahalla
9 Cairo Military Academy Stadium 28,500 Cairo For all teams 1989
10 Suez Stadium 27,000 Suez Asmant El-Suweis & Petrojet FC 1990
11 El Sekka El Hadid Stadium 25,000 Cairo El Sekka El Hadid SC
12 Mokhtar El Tetsh Stadium 25,000 Cairo Al Ahly SC 1917
Petro Sport Stadium 25,000 New Cairo ENPPI 2006
14 Ismailia Stadium 23,525 Ismailia Ismaily SC 1934
15 Uwanja wa michezo wa Haras El Hodoud 22,000 Alexandria Haras El-Hodood & El Raja
Port Said Stadium 22,000 Port Said Al-Masry Club 1955
16 Uwanja wa michezo wa Alexandria 20,000 Alexandria Al Ittihad & Smouha 1929
Uwanja wa michezo wa Alexandria 20,000 Fayoum Misr El Makasa
Uwanja wa michezo wa Sohag 20,000 Sohag Sohag FC & El Gouna FC 1930
19 Uwanja wa michezo wa EL Mansoura 18,000 El Mansoura El Mansoura SC 1962
Uwanja wa michezo wa Aluminium 16,000 Nag Hammadi Aluminium Nag Hammâdi
Asiut University Stadium 16,000 Asyut Asyut Petroleum
23 Uwanja wa michezo wa Aswan 11,000 Aswan Aswan SC 2014
24 Bani Sweif Stadium 10,000 Bani Sweif Telephonat Bani Sweif
Desouk Stadium 10,000 Desouk Desouk SC 1 January 1976
El Gouna Stadium 10,000 El-Gouna El Gouna FC 2009

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Stadiums in Egypt. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-12-30. Iliwekwa mnamo 2021-06-13.
Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Orodha ya viwanja vya michezo vya Misri kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.