Uwanja wa michezo wa Sohag

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa michezo wa Sohag

Uwanja wa michezo wa Sohag upo katikati ya jiji la Sohag, lenye uwezo wa kuheba watu 20,000[1] na karibu sawa na uwanja mwingine wowote wa Misri kwenye [Mto Nile] huko Aswan, Naq Hammadi, [El Minya FC], Asyut, Beni Suef na Fayum.

marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Sohag Stadium". soccerway. Iliwekwa mnamo 18 August 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Sohag kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.