Uwanja wa michezo wa El-Mansoura

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Uwanja wa michezo wa El-Mansoura ni uwanja wa mchezo wenye matumizi mengi uliopo huko El Mansoura nchini Misri. Kwa sasa unatumiwa zaidi kwa mchezo wa mpira wa miguu (soka), pia unatumika kuandaa michezo ya nyumbani ya klabu ya El Mansoura SC. Uwanja huo unauwezo wa kuchukua watu 18,000. ulifunguliwa mnamo mwaka 1962.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uwanja wa michezo wa El-Mansoura kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.