Uwanja wa michezo wa Beni Ebeid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Uwanja wa michezo wa Beni Ebeid (Bani Ebeid Stadium) ni uwanja wa michezo unaotumika kwa matumizi mbalimbali huko Bani Ebeid nchini Misri. Uwanja huu mara nyingi umekuwa ukitumiwa hasa kwa michezo ya mechi za mpira wa miguu pia na maswala ya riadha. Uwanja hu una uwezo wa kuchukua idadi ya watu wapatao 30,000.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa Beni Ebeid kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.