Nenda kwa yaliyomo

Ismaïlia

Majiranukta: 30°35′N 32°16′E / 30.583°N 32.267°E / 30.583; 32.267
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ismailia)
Mji wa Ismaïlia

Ismaïlia (kwa Kiarabu: لإسماعيلية‎) ni mji mkuu wa nchi ya Misri. Una idadi ya watu wapatao 750,000 hii ikijumuisha na maeneo ya jirani. Ipo katika upande wa kiasi cha nusu ukitoka katika bandari ya Said au Port Said kwa upande wa kaskazini na Suez Kwa upande wa Kusini. Mrefeji huu hupanuka unapofikia katika sehemu ya Timsah moja kati ya maziwa yaliyoungana na mfareji wa Suez. Ziwa hili liligunduliwa mwaka 1863 wakati wa ujengwaji wa mfereji wa Suez na Ismail the Magnificent, na pia jina la mtu huyu ndilo jina na eneo mfereji huu ulipo. Makao makuu ya Mamalaka ya mreji wa Suez yapo katika mwisho mwa ziwa Timsah, bado mji huu una majengo kadhaa ya zamani tangu enzi za Waingereza na Wafaransa kuwa na mahitaji katika mfeji huo. Bado baadhi ya majengo ya wakoloni yanaendelea kutumika na wafanyakazi wa mfereji huo hadi sasa.

Ismailia ndiko kuna chuo kikuu cha Suez Canal kilichoanzishwa mwaka 1976, kwa ajili ya wakazi wa maeneo ya Suez Canal na Sinai. Suez Canal ni moja ya ya taasisi zinazokuwa zaidi nchini Misri na hupokea wanafunzi kutoka katika nchini. mbalimbali.

Ismaïlia pia hupata wageni kutoka nchini Misri lakini sio eno pekee ambalo huleta watalii nchini humo, kwa hupoka watalii pia kutoka mataifa mbalimbali duniani. Pia kuna usafiri wakutosha kutoka na kwenda katika miji mbalimbali kama vile Cairo. Ni kiasi cha saa manne kwa mwendo wa gari kutoka katika mji wa Ismailia hadi Sharm el Sheikh iliyopo kusini mwak Sinai.

Ismaïlia timu tatu za mpira wa miguu nchini Misri moja kati ya michezo inayopendwa zaidi barani Afika yaani Ismaily SC, Timu hii ina mashabiki kutoka katika ineo inapotoka lakini pia kutoka katika nchi nzima. Matokeo ya timu hii katika michezo mbalimbali ni suala la kitaifa na huweza kubadilisha mwonekano na hali za watu wa mji huu. Timu hii imeshafanikiwa kushinda katika michuano mbalimbali nchini Misri kama vile Egyptian League mara tatu katika miaka ya (1967, 1991, 2002), na kombe la Egyptian Cup mara mbili yaani mwaka e (1997, 2000), Shirikisho la Mabingwa wa Afrika kwa mwaka (1969)

Hali ya hewa

[hariri | hariri chanzo]

.

Wakazi maarufu

[hariri | hariri chanzo]
  • Osman Ahmed Osman, huyu ni mhandisi maarufu na mwenye ushawishi mkubwa nchini Misri ni mjasiriamali na pia ni mwanasiasa alizaliwa tarehe 6 Aprili 1917
  • Claude François, mwandishi mfaransa wa muziki aina wa pop na pia ni mtunzi wa nyimbo mbalimbali, alizaliwa katika mji huu tarehe 1 Februari 1939.
  • Louis Chedid, mtunzi maarufu wa nyimbo na mwimbaji, wa Kifaransa alizaliwa katika mji huu tarehe 1 Januari 1948, na pia ni baba yake na Matthieu Chedid anajulikana zaidi kama (-M-).
  • Adel Marzouk, mchezaji wa mpira maarufu kuanzia mwaka 1986 hadi 1990.
  • Falling Rain Genomics, Inc. "Geographical information on Al Ismailiyah, Egypt". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-09-27. Iliwekwa mnamo 2008-03-23.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]

30°35′N 32°16′E / 30.583°N 32.267°E / 30.583; 32.267