Orodha ya viwanja vya michezo Tanzania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya viwanja vya michezo vya mpira nchini Tanzania kulingana na uwezo wa kuchukua idadi ya watu uwanjani.

Orodha[hariri | hariri chanzo]

Unaweza kuongezea Orodha ya viwanja hivi

Image Uwanja Mahali Ulipo Uwezo Mmiliki
Uwanja wa Taifa (Tanzania) Dar es Salaam 60,000[1] Serikali
Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba Mwanza 35,000[1] Chama Cha Mapinduzi
Uwanja wa michezo wa Kambarage Shinyanga 30,000[1]
Uwanja wa michezo wa Gombani Chake Chake 30,000[2]
uwanja wa michezo wa Uhuru Dar es Salaam 23,000[2] Government
Uwanja wa michezo Ali Hassan Mwinyi Tabora 20,000[3]
Uwanja wa Kumbukumbu wa Shekhe Amri Abeid Arusha 20,000[2] Chama Cha Mapinduzi
Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika Kigoma 20,000[2] Chama Cha Mapinduzi
Uwanja wa michezo Amaan Unguja 15,000[2] Revolutionary Government
Uwanja wa michezo wa Mkwakwani Tanga 15,000[2] Chama Cha Mapinduzi
Uwanja wa michezo Nangwanda Sijaona Mtwara 15,000[1]
Uwanja wa Michezo wa Jamhuri (Morogoro) Morogoro 10,000[1] Chama Cha Mapinduzi
Uwanja wa michezo wa Jamhuri (Dodoma) Dodoma 10,000[2]
Uwanja wa michezo wa Sokoine Mbeya 10,000[1]
Uwanja wa michezo wa Maji Maji Songea 10,000[1]
Uwanja wa michezo wa Chamazi Dar es Salaam 10,000[1]
Uwanja wa Michezo wa Manungu Turiani 5,000[1]
Uwanja wa michezo wa Kaitaba Bukoba 5,000[1]
Uwanja wa michezo wa Mlandizi Mkoa wa Pwani 3,000[1]
Uwanja wa michezo wa Kumbukumbu ya Karume Dar es Salaam 2,000[4]
Uwanja wa michezo wa Mwadui Shinyanga 1,000[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]