Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa CCM kirumba


Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba, ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Mwanza nchini Tanzania ukiwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 35000, na ni uwanjwa wa pili kwa ukubwa nchini Tanzania.

Tarehe 25 Machi 2015 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilicheza mechi yake ya kirafiki katika uwanja huu na timu ya Malawi na matokeo yalikuwa bao moja kwa moja [1]

Matumizi[hariri | hariri chanzo]

Timu ya Taifa ya Tanzania imetumia uwanja huu kwa micheo mingi ya kirafiki.

Moja ya michezo hiyo ni pamoja na ule uliowakutanisha na timu ya taifa ya Malawi mnmo tarehe 29 Machi 2015. Matokeo yalikua ni sare ya 1-1. [2]

Umekua ukitumiwa kama uwanja wa nyumbani kwa timu za mkoa wa mwanza zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "SOCCER: Nooij: Bring on Malawi Flames". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-13. 
  2. "SOCCER: Nooij: Bring on Malawi Flames". The Citizen (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-05-13. 
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa michezo wa CCM Kirumba kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.