Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika ni uwanja wa michezo uliopo katika mkoa wa Kigoma nchini, Tanzania, ukitumika sana kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu na una uwezo wa kuchukua mashabiki 20,000.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Michezo wa Lake Tanganyika kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.