Orodha ya miji ya Albania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya miji na vijiji nchini Albania, jinsi ilivyorejewa kutoka Taasisi ya Kutoa Takwimu ya Albania (Insituti i Statistikës) mjini Tirana (2008).

Mji mkuu wa Albania ni Tirana na pia ndiyo mji mkubwa nchini humu. Hapa ndipo mahala pa kitovu cha uchumi wa nchi Albania.

Mji mkubwa wa pili na ndio mji wenye bandari kubwa ni Durrës.

Miji Mikubwa[hariri | hariri chanzo]

Ukubwa Mji Idadi ya Wakazi wa Mjini Idadi ya Wakazi Kikanda/Kiwilaya
1 Tirana 717,209 898,000
2 Durrës 209,600 365,000
3 Vlorë 124,700 263,000
4 Elbasan 100,800 359,000
5 Shkodër 83,600 228,000
6 Korçë 75,100 202,000
7 Fier 56,300 383,000
8 Gjirokastër 48,800 175,000
9 Berat 44,200 163,000
10 Lushnjë 37,900 100,000
11 Sarandë 33,400 80,200

Miji Midogo na Vijiji Vyake[hariri | hariri chanzo]

  1. Pogradec: 23,700
  2. Laç: 23,400
  3. Patos: 21,000
  4. Krujë: 19,400
  5. Kuçovë: 18,000
  6. Kukës: 16,600
  7. Lezhë: 16,600
  8. Peshkopi: 14,100
  9. Burrel: 13,900
  10. Cërrik: 13,200
  11. Çorovodë: 13,200
  12. Shijak: 12,800
  13. Librazhd: 11,500
  14. Tepelenë: 11,300
  15. Gramsh: 10,400
  16. Poliçan: 10,200
  17. Bulqizë: 10,000
  18. Përmet: 9,800
  19. Fushë-Krujë: 9,600
  20. Kamëz: 9,300
  21. Rrëshen: 9,200
  22. Ballsh: 9,100
  23. Mamurras: 7,600
  24. Bajram Curri: 7,500
  25. Ersekë: 7,500
  26. Peqin: 7,200
  27. Divjakë: 7,069
  28. Selenicë: 6,900
  29. Himarë: 3,122
  30. Vore

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]