Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Andorra

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Andorra.

Mji Wakazi (2007)
Andorra la Vella 21,556
Les Escaldes 16,475
Encamp 8,704
Sant Julià de Lòria 8,077
La Massana 4,662
Pas de la Casa 3,056
Santa Coloma 3,018
Ordino 2,321
Canillo 2,076
Arinsal 1,562

Marejeo[hariri | hariri chanzo]