Andorra la Vella

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bunge la Andorra

Andorra la Vella (Kikatalani: Andorra ya Kizee) ni mji mkuu pia mji mkubwa nchini Andorra yenye wakazi 22,035.

Iko katika bonde la milima ya Pirenei kwa kimo cha m 1409. Uchumi unategemea sana utalii hasa ski miezi ya baridi.

Andorra la Vella hana uwanja wa ndege wala kituo cha treni lakini kuna huduma ya basi kwenda nje ya nchi.

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Andorra la Vella kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.