Nenda kwa yaliyomo

Orodha ya miji ya Serbia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hii ni orodha ya miji ya Serbia yenye angalau idada ya wakazi 100,000.

# jina wakazi
1 Belgrad 1,166,763
2 Novi Sad 250,439
3 Priština 211,129
4 Niš 183,164
5 Kragujevac 150,835