Mtumbaku
Mtumbaku (Nicotiana spp.) | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mitumbaku iliyotoa maua
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Mitumbaku (pia mitumbako; kwa Kisayansi Nicotiana spp.) ni mimea iliyo na asili yao katika Amerika lakini inayolimwa kote duniani siku hizi. Majani yake (tumbaku) yana kiasi kikubwa cha nikotini na yana matumizi ya kuvuta katika sigara.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Waindio ambao ni wenyeji asilia wa Amerika walitumia tumbaku miaka mingi kabla ya kufika kwa Wazungu huko. Wahispania walijifunza matumizi ya tumbaku kutoka kwao wakaileta Ulaya.
Mwanzoni tumbaku ilivutwa kwa kiko. Sigara zilipatikana baadaye. Inatafuniwa na kunuswa pia.
Walimaji Mtumbaku
[hariri | hariri chanzo]Walimaji wakuu wa mtumbaku duniani - 2005 (milioni za tani za mraba) | |
---|---|
China | 2.51 |
Brazil | 0.88 |
Uhindi | 0.60 |
Marekani | 0.29 |
Indonesia | 0.14 |
Uturuki | 0.14 |
Ugiriki | 0.12 |
Argentina | 0.12 |
Italia | 0.11 |
Pakistan | 0.08 |
World Total | 6.38 |
Kutoka: FAO [1] Archived 19 Juni 2006 at the Wayback Machine. |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mtumbaku kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |