My Wife and Kids
Mandhari
My Wife and Kids ni kipindi cha kuchekesha iliyotengenezwa na stesheni ya ABC kuanzia 28 Machi 2001, hadi 17 Mei 2005. Waigizaji wakuu ni Damon Wayans na Tisha Campbell-Martin, na kipindi hiki kilitayarishwa na Touchstone Television.
Ni kuhusu baba aitwaye Michael Kyle, anayempenda mkewe kwa dhati na aliye na mfumu wa kulea watoto wake kwa makini, uerevu na wa kuchekesha.
Hisotria na upatikanaji
[hariri | hariri chanzo]Kipindi hiki kilianzishwa na Don Reo, Chris Scantelli, na Damon Wayans. Vipindi vyake huonyeshwa nchini Marekani, Ulaya, Australia, Ubelgiji, Canada, Brazil, Samoa, Afrika Kusini, Kenya, Singapore, Tanzania, India, Pakistan, Ufilipino, Bangladesh, United Arab Emirates, Qatar, Italia, Netherlands, Kupro, New Zealand, Ufaransa, Ujerumani, Uholanzi na Hungary.
Waigizaji
[hariri | hariri chanzo]- Jazz Raycole aliigiza kama Claire kwenye msimu wa kwanza. Jennifer Freeman aliendelea kuigiza kama Claire kuanzia msimu wa pili.
- Noah Gray-Cabey alijiunga kuanzia msimu wa tatu, akiigiza kama Franklin.
- Meagan Good pia alijiunga kwenye msimu wa tatu, akiigiza kama mpenzi wa Junior. Meagan alitolewa na Brooklyn Sudano akawekwa badili yake kwa sababu zisizojulikana.
Waigizaji wakuu
[hariri | hariri chanzo]- Damon Wayans - Michael Richard Kyle, baba.
- Tisha Campbell-Martin - Janet Marie 'Jay' Kyle, mama.
- George O. Gore II - Michael Richard Kyle, Jr. (aka Junior), mtoto wa kwanza
- Jazz Raycole - Claire Kyle #1, mtoto wa pili (msimu wa kwanza)
- Jennifer Freeman - Claire Kyle #2, mtoto wa pili (kuanzia msimu wa pili)
- Parker McKenna Posey - Kady Kyle, mtoto wa tatu
- Noah Gray-Cabey - Franklin Aloisious Mumford, "mpenzi" wa Kady (kuanzia msimu wa tatu)
- Meagan Good - Vanessa Scott, Mpenzi wa Junior (msimu wa tatu)
- Brooklyn Sudano - Vanessa Scott-Kyle, Mpenzi wa Junior, na hatimaye mkewe (kuanzia msimu wa nne)
- Andrew McFarlane - Tony Jeffers, mpenzi wa Claire (kuanzia msimu wa pili)
Waigizaji wengineo
[hariri | hariri chanzo]- Keenan Ivory Wayans - Ken Kyle, nduguye Michael
- Katt Williams - Bobby Shaw, adui wa Michael
- Damon Wayans Jr. - John, rafikiye Junior
- Lester "Rasta" Speight - Calvin Scott, babake Vanessa
- Ella Joyce - Jasmine Scott, mamake Vanessa
- Sean Whalen - Larry.
- Liliana Mumy - Rachel.
- Jamia Simone Nash - Aretha Mumford, nduguye Franklin
- Larry Miller - Stuart Tyler.
- Marlene Forte - Rosa Lopez, mfanyikazi.
- Lauren Tom as Annie Hoo, mwenye mkahawa.
- Chelsea Handler - mfanyikazi.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji kutafsiriwa kwa Kiswahili. Ili kupata sababu angalia ukurasa wa majadiliano. |
Season | TV season | Ratings rank | Viewers (in millions) |
1 | 2000-2001 | #43[1] | 8.0[1] |
2 | 2001-2002 | #41[2] | 11.0[2] |
3 | 2002-2003 | #42[3] | 11.27[3] |
4 | 2003–2004 | #60[4] | 9.95[4] |
5 | 2004–2005 | #79[5] | 7.2[5] |
Tuzo
[hariri | hariri chanzo]Tuzo | Matokeo | |
ASCAP Awards: | ||
Top TV Series | (Ilishinda) | |
BET Comedy Award: | ||
Outstanding Comedy Series | Nominated[6] | |
Outstanding Directing for a Comedy Series | Ilichaguliwa | |
Outstanding Lead Actor in a Comedy Series (Damon Wayans) | (Alishinda) | |
Outstanding Lead Actress in a Comedy Series (Tisha Campbell-Martin) | (Alishinda) | |
Outstanding Writing for a Comedy Series | Ilichaguliwa | |
Outstanding Supporting Actor in a Comedy Series (George O. Gore II) | Ilichaguliwa | |
Family Television Award: | ||
Comedy | (Ilishinda) | |
Image Awards: | ||
Outstanding Directing in a Comedy Series | Ilichaguliwa | |
Outstanding Actor in a Comedy Series (Damon Wayans) | Ilichaguliwa | |
Outstanding Actress in a Comedy Series (Tisha Campbell-Martin) | (Ilishinda) | |
Outstanding Comedy Series | Ilichaguliwa | |
Outstanding Supporting Actor in a Comedy Series (George O. Gore II) | Ilichaguliwa | |
Logie Award: | ||
Most Popular Overseas Comedy | Ilichaguliwa | |
People's Choice Award: | ||
Favorite Male Performer in a New Television Series (Damon Wayans) | (Alishinda) | |
Favorite Television New Comedy Series | (Ilishinda) | |
Prism Award: | ||
TV Comedy Series Episode | (Ilishinda) | |
Satellite Awards: | ||
Best Actor in a Series, Comedy or Musical (Damon Wayans) | Alichaguliwa | |
Best Performance by an Actor in a Series, Comedy or Musical (Damon Wayans) | Alichaguliwa | |
Teen Choice Award: | ||
Choice TV Actress - Comedy (Jennifer Freeman) | Alichaguliwa | |
TV - Choice Comedy | Alichaguliwa | |
Young Artist Award: | ||
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actor Age Ten or Younger (Noah Gray-Cabey) | (Ilishinda) | |
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actress Age Ten or Younger (Jazz Raycole) | Alichaguliwa | |
Best Performance in a TV Comedy or Drama Series - Guest Starring Young Actress Age Ten or Under (Jessica Sara) | (Ilishinda) | |
Best Ensemble in a TV Series (Comedy or Drama) | Ilichaguliwa | |
Best Family Television Series (Comedy or Drama) | Ilichaguliwa | |
Best Performance in a TV Comedy Series - Guest Starring Young Actress (Marina Malota) | Ilichaguliwa | |
Best Performance in a TV Comedy or Drama Series - Guest Starring Young Actress Age Ten or Under (Liliana Mumy) | Ilichaguliwa | |
Best Performance in a TV Series (Comedy or Drama) - Young Actress Age Ten or Under (Parker McKenna Posey) | Ilichaguliwa |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "TV Ratings 2000-2001". Iliwekwa mnamo 9 Januari 2010].
{{cite web}}
: Check date values in:|accessdate=
(help) - ↑ 2.0 2.1 "How did your favorite show rate?". USA Today. 28 Mei 2002. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2010.
- ↑ 3.0 3.1 "Nielsen's TOP 156 Shows for 2002-03".
- ↑ 4.0 4.1 "Viewership numbers of primetime programs during the 2003-04 television season". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-09-30. Iliwekwa mnamo 2010-01-13. Retrieved on 2010-01-09.
- ↑ 5.0 5.1 "2004-2005 TV Ratings". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-05-19. Iliwekwa mnamo 2010-01-13.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|https://web.archive.org/web/20070519102605/http://www.hollywoodreporter.com/hr/search/article_display.jsp?vnu_content_id=
ignored (help) Retrieved on 2010-01-09. - ↑ "Awards for My Wife and Kids (2001)". Imdb.com. Iliwekwa mnamo 2008-09-07.