Nenda kwa yaliyomo

Montell Jordan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Montell Jordan
Montell Jordan, mnamo 2008
Montell Jordan, mnamo 2008
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Montell Du'Sean Barnett[1]
Amezaliwa 3 Desemba 1968 (1968-12-03) (umri 55)
Los Angeles, California, Marekani
Aina ya muziki R&B, New Jack Swing, Hip hop
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi
Miaka ya kazi 1994–mpaka sasa
Studio PMP/RAL, Def Soul (1995–2002)
Koch (2003–2004)
Universal/Fontana (2008)
Ame/Wameshirikiana na Shae Jones
Tovuti montellmusic.com

Montell Jordan (amezaliwa tar. 3 Desemba 1968) ni mwimbaji, mtunzi wanyimbo, na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani. Jordan amekuwa msanii wa kujitegemea mkubwa kwenye studio ya Def Soul hadi hapo alipokuja kuondoka kwenye studio hiyo mnamo mwaka wa 2003.

Diskografia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Montell Jordan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.