Mkuu wa jimbo
Mandhari
Mkuu wa jimbo (kwa Kilatini: Ordinarius loci) katika Kanisa Katoliki[1] ni mkleri (askofu au padri) ambaye ana mamlaka ya kisheria ya kudumu[2] juu ya jimbo (dayosisi au lingine).
Mamlaka hiyo anaweza kuwa nayo kutokana na cheo chake mwenyewe (hasa Askofu wa jimbo) ama kama makamu wa mwenye cheo (hasa makamu wa askofu)[3].
Utaratibu kama huo unafuatwa na Waanglikana[4]. Waorthodoksi wanatumia msamiati tofauti[5].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkuu wa jimbo kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |