Askofu wa jimbo
Askofu wa jimbo ni askofu ambayo anachunga kwa mamlaka kamili jimbo fulani. Kwa msingi huo anatofautiana na askofu mwandamizi, askofu msaidizi n.k.
Katika Kanisa Katoliki[1]ni kazi yake kufundisha, kutakasa na kuongoza waamini wote wa jimbo lake [2]akisaidiwa na mapadri na mashemasi.[3]
Footnotes[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Canon 376. 1983 Code of Canon Law. Libreria Editrice Vaticana. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009.
- ↑ Canon 369. 1983 Code of Canon Law. Libreria Editrice Vaticana. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009.
- ↑ Canon 381. 1983 Code of Canon Law. Libreria Editrice Vaticana. Iliwekwa mnamo 27 Julai 2009.