AfroBasket 2009
Mandhari
(Elekezwa kutoka Mashindano ya AfroBasket 2009)
AfroBasket 2009 yalikuwa mashindano ya 25 ya FIBA Africa Championship[1]. Mashindano hayo ya ubingwa yalifanyika chini ya bodi ya mpira wa kikapu iitwayo Fédération Internationale de Basketball[2]
Mashindano yalifanyika nchini Libya baada ya Nigeria kujiondoa kwa kutokamilisha vigezo vilivyowekwa na FIBA Africa.
Michuano ya ubingwa ya FIBA ya mwako 2009 ilifanyika tarehe tofauti tofauti mnamo 4 Agosti 2008 hadi 31 Mei 2009.
Timu zilizofuzu
[hariri | hariri chanzo]Timu iliyofuzu kama mwenyeji wa mashindano:
Tatu bora ya waliofuzu katika ubingwa FIBA Afrika 2007:
Washindi wa kanda:
Walio fuzu kuingia katika mashindano bila ya kuchuana na timu pinzani:
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tovuti za Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |