AfroBasket 2009

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

AfroBasket 2009 yalikuwa mashindano ya 25 ya FIBA Africa Championship[1]. Mashindano hayo ya ubingwa yalifanyika chini ya bodi ya mpira wa kikapu iitwayo Fédération Internationale de Basketball[2]

Mashindano yalifanyika nchini Libya baada ya Nigeria kujiondoa kwa kutokamilisha vigezo vilivyowekwa na FIBA Africa.

Faili:AfroBasket 2009 logo

Michuano ya ubingwa ya FIBA ya mwako 2009 ilifanyika tarehe tofauti tofauti mnamo 4 Agosti 2008 hadi 31 Mei 2009.


Timu zilizofuzu[hariri | hariri chanzo]

Timu iliyofuzu kama mwenyeji wa mashindano:

Tatu bora ya waliofuzu katika ubingwa FIBA Afrika 2007:

Washindi wa kanda:

Walio fuzu kuingia katika mashindano bila ya kuchuana na timu pinzani:


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Tovuti za Nje[hariri | hariri chanzo]

http://archive.fiba.com/pages/eng/fa/event/p/pid/76049/sid/6528/tid/264/_/2009_FIBA_Africa_Championship_for_Men_Qualifying_Round/group-standing.html