Wilaya ya Ubungo
(makala hii inahusu wilaya ya Ubungo, kuangalia makala ya kata ya Ubungo bonyeza hapa)
Wilaya ya Ubungo | |
Mahali pa Ubungo katika Tanzania |
|
Majiranukta: 6°47′42″S 39°15′58″E / 6.79500°S 39.26611°E | |
Nchi za | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Dar es Salaam |
Wilaya | Ubungo |
Wilaya ya Ubungo ni jina la mojawapo kati ya wilaya 5 za Mkoa wa Dar es Salaam, Tanzania, yenye postikodi namba 16000.
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 1,086,912 [1].
Ubungo ilifahamika sana nchini kama kitovu kikuu cha Mabasi yaelekeayo mikoani na miji mbalimbali ya Tanzania kama vile Arusha, Moshi, Morogoro, Dodoma, Mbeya, Iringa, Mtwara, Lindi, Singida, Tanga na Mwanza; vilevile hadi Nairobi, Lilongwe, Lusaka na miji mingine kadhaa ya Afrika ya Mashariki.
Pia Ubungo ina barabara za juu na makao makuu ya Tanesco, shirika la umeme la Tanzania.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Kata za Wilaya ya Ubungo - Mkoa wa Dar es Salaam - Tanzania | ||
---|---|---|
Goba | Kibamba | Kimara | Kwembe | Mabibo | Makuburi | Makurumla | Manzese | Mbezi | Mburahati | Msigani | Saranga | Sinza | Ubungo |
Makala hii kuhusu maeneo ya Dar es Salaam bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ubungo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |