Majadiliano ya mtumiaji:Peasant2020

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Twamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo - hata kuitafsiri kutoka katika Wikipedia kwa lugha nyingine. Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wa sanduku la mchanga. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike pekee kwenye ukurasa wako wa mtumiaji baada ya kufungua akaunti. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho. Ujue miiko:

  • usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje
  • wala matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
  • usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non speaker better first communicate with one of our admins who will advise you. You find them at Wikipedia:Wakabidhi. And btw: NEVER

  • post computer translated texts (like google-translate, mediawiki Content Translation etc.)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages.

As a newcomer we advise that you register your email which will not be visible to others but it allows to contact you, which often is helpful in case of problems.

--Jadnapac (majadiliano) 16:45, 18 Julai 2021 (UTC)[reply]

Pitia Mkala[hariri chanzo]

Salamu, kabla ya kuchapisha makala ni bora zaidi kuihakiki kabla ya kuichapisha na kama ikitokea umeichapisha na ikawa ina makosa basi ni heri zaidi kuirekebisha kabla ya kuendelea na makala nyingine, katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Lulwa_Al_Awadhi umeacha maandishi ya kiingereza na kisha kuichapisha, pia, jaribu kupitia makala ambazo zimeandikwa tayari ili kuona ni namna gani makala zinaandikwa, amani sana Idd ninga (majadiliano)

Bahati nzuri umekwisha mwambia -- Olimasy (majadiliano)

Ndugu nimepitia makala kadhaa ulizoanzisha. Ninakuzuia sasa kwa sababu zifuatazo: Tangu 23 Julai umeombwa kutunga makala zako kwa umakini zaidi na kurekebisha makosa. Naona sasa umeendelea bila kujali ombi hili. Makala nilizoangalia zinajaa kasoro nzito, Kiswahili kibaya. Horrea Coelia, Sousse, Henchir-Tebel, Henchir-Sidi-Salah umepanga katika bila kutaja habari yoyote inayohusu akiolojia. Unaonekana kwamba unataka kupakua makala nyingi iwezekanavyo kwa jina lako bila kujali maudhui yake. Umemwaga matokeo ya google translate bila kusoma wala kusahihisha matokeo yake Joub_Jannine, Henchir-El-Dukhla na mengine, ilhali unajua hii ni marufuku hapa na matokeo yake ni mara kwa mara Kiswahili kisichoeleweka. Pia hujaangalia kama fomati ya makala inalingana na utaratibu wetu. Ninakuzuia sasa. Unaweza kulalamika kwenye ukurasa wa jamii. Nitaondoa zuio kama unajibu kwenye ukurasa wangu wamajadiliano na kueleza kwamba uko tayari kupitia makala zako na kuondoa makosa na kasoro. Kipala (majadiliano) 19:19, 30 Julai 2021 (UTC)[reply]