Henchir-Tebel
Mandhari
35°20′39″N 10°03′05″E / 35.3442°N 10.0514°E
Henchir-Tebel (zamani Luperciana) ni kijiji nchini Tunisia ulioko upande wa kusini karibu na Kairouan[1][2]
Mji wa Kiroma
[hariri | hariri chanzo]Hapa kuna maghofu ya Luperciana uliokuwa mji wa Afrika ya Kiroma iliyokuwa jimbo la Kirumi kabla ya uvamizi wa Waarabu katika karne ya saba BK.
Dayosisi ya Luperciana
[hariri | hariri chanzo]Mji wa Luperciana ulikuwa makao ya askofu chini ya askofu mkuu wa Karthago.[3][4] Jina la askofu mmoja Pelagian limehifadhiwa aliyehudhuria mkutano wa maasakofu wa Afrika kwenye mwaka 256.
Baada ya uenezaji wa Uislamu katika Afrika ya Kaskazini dayosisi hiyo ilikwisha. Tangu mwaka 1933 Kanisa Katoliki limeanza kutumia tena jina la Luperciana kama dayosisi ya jina kwa kubariki maaskofu wasio na dayosisi halisi.[5][6]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Traveling Luck for Henchir Tebel, Al Qayrawān, Tunisia.
- ↑ Photos of Henchir-Tebel Archived 30 Julai 2021 at the Wayback Machine..
- ↑ Pius Bonifacius Gams, Series Episcoporum Ecclesiae Catholicae, (Leipzig 1931), p. 466.
- ↑ Stefano Antonio Morcelli, Africa christiana, Volume I, Brescia 1816, p. 206
- ↑ Titular Episcopal See of Luperciana at Gcatholic.org.
- ↑ Luperciana hapo Catholic hierarchy.org.
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Henchir-Tebel kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |