Nenda kwa yaliyomo

Henchir-Sidi-Salah

Majiranukta: 35°56′18″N 10°08′51″E / 35.938333°N 10.1475°E / 35.938333; 10.1475
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

35°56′18″N 10°08′51″E / 35.938333°N 10.1475°E / 35.938333; 10.1475

Ramani ya dayosisi za kanisa la kale katika Afrika Kaskazini kabla ya kufika kwa Uislamu

Henchir-Sidi-Salah ni eneo la vijijini na sehemu ya akiolojia katika wilaya ya Kairouan, Tunisia.

Katika maandishi kwenye magofu yanayopatikana hapa jina la Fundus [...]itanus[1] limetambuliwa. Kwa hiyo kulikuwa hapa na mji zamani za Afrika ya Kiroma unaoaminiwa ukiitwa Fundus (Dic)itanus, labda pia Fundus Tigitanus. Ulistawi kati ya 30 KK hadi karne ya saba BK.[2][3]

  1. https://pleiades.stoa.org/places/324706/fundus-itanus-name
  2. Hitchner, R. Places: 324706 (Fundus (Dic)itanus).
  3. E. Babelon, R. Cagnat and S. Reinach, Atlas archéologique de la Tunisie (1:50,000), (Paris, 1892–1913).
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Henchir-Sidi-Salah kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.