Nenda kwa yaliyomo

Magnus wa Oderzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Magnus katika mchoro "Kutosadiki kwa Mtume Thoma".

Magnus wa Oderzo (kwa Kiitalia: Magno; Altinum, Venezia, Italia, 580 - 670) alikuwa askofu wa mji huo, baada ya kuishi kama mkaapweke na kama padri.

Inasemekana kwamba mwaka 638, kutokana na uvamizi wa Walombardi[1], alihama pamoja na waumini wengi kwenda kuanzisha mji mpya wa Eraclea, akajenga makanisa nane[2] huko Venezia[3] [4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Oktoba[5].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Saint Magnus of Orderzo". CatholicSaints.Info (kwa American English). 2020-10-28. Iliwekwa mnamo 2023-07-26.
  2. "Churches in Venice - San Magno and his eight churches". Slow Travel. 2009-05-31. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-04. Iliwekwa mnamo 2010-01-15.
  3. Giordano, Baron Andrea (1844). Venice Described. Ilitafsiriwa na R. Barton.
  4. https://www.santiebeati.it/dettaglio/91004
  5. Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.