Michael Jackson : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Ondoa: bug:Michael Jackson
d roboti Nyongeza: bug:Michael Jackson
Mstari 78: Mstari 78:
[[br:Michael Jackson]]
[[br:Michael Jackson]]
[[bs:Michael Jackson]]
[[bs:Michael Jackson]]
[[bug:Michael Jackson]]
[[ca:Michael Jackson]]
[[ca:Michael Jackson]]
[[ceb:Michael Jackson]]
[[ceb:Michael Jackson]]

Pitio la 22:55, 8 Agosti 2009

Michael Jackson
Michael Jackson mnamo miaka ya 1990
Michael Jackson mnamo miaka ya 1990
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Michael Joseph Jackson
Amezaliwa (1958-08-29)29 Agosti 1958
Gary, Indiana, Marekani
Amekufa 25 Juni 2009 (umri 50)
Los Angeles, Kalifornia, Marekani
Aina ya muziki Pop, R&B, rock, soul
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi, mtayarishaji wa rekodi, dansa, koreografa, mwigizaji, mtunzi wa vitabu, mfanyabiashara, minyamihela
Ala Sauti, Ngoma
Miaka ya kazi 1967–2009
Studio Motown, Epic, Sony
Ame/Wameshirikiana na The Jackson 5/The Jacksons
Tovuti MichaelJackson.com

Michael Jackson (29 Agosti 195825 Juni 2009) alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa rekodi, mwigizaji, mfanyabiashara, mtunzi wa vitabu na kabaila kutoka nchini Marekani. Alikuwa na vipaji vingi vya kisanii kama vile kuimba, kucheza na utunzi wa aina ya muziki wa pop. Katika miaka ya 1980 alivuma sana na albamu yake ya Thriller iliyovunja rekodi ya mauzo kwa kuuza nakala milioni 104.


Wasifu

Maisha ya awali

Michael Jackson alianza kuonekana jukwaani akiwa na miaka mitano tu pamoja na kaka na dada zake. Alitokea familia ya wanamuziki ya Jackson Five. Kuhusu miaka yake ya awali alisimulia mara kadhaa ya kwamba baba alimlazimisha kufanya mazoezi mno ya kucheza na uimbaji hivyo Michael alikosa utoto. Watazamaji wengi wamehisi ya kwamba matatizo ya kisaikolojia ya msanii yalikuwa na chanzo katika kipindi hiki.

Michael aliandika nyimbo nyingine maarufu ambazo ni 'Bad' na 'Black or White'. Huyu pia huitwa mfalme wa pop duniani.

mtoto Michael pamoja na kaka zake katika kundi la Jackson Five

Maisha binafsi

Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, lakini hakukutanika na kosa. Alifanya upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya Mwamerika mweusi mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Watu waliomtazama hawakupatana kama mabadiliko ya kimaumbile yalikuwa ama tokeo la kuona aibu kuonekana kama Mwafrika au jaribio kuwa na uso linalorahisisha mawasiliano yake na watu wa bara zote.

Michael, alimwoa Bi. Lisa Marie Presley, binti wa Elvis Presley. Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo baadaye liliuzwa kwa kampuni na nusu bado inamilikiwa na mwenyewe.

Mauti

Michael Jackson amefariki mnamo tar. 25 Juni, 2009 baada ya kuwaisha katika hospitali ya UCLA Medical Center.[1] Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo, ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno.[2] At 4:36 pm local time, the Los Angeles coroner confirmed Jackson's death.[3]

Wakati wa umauti wake, Jackson alikuwa na umri wa miaka 50. Tetesi za habari za kifo cha Jackson, kimevunja rekodi ya mtandao na kusababisha msongamano mtandaoni[4] kwa kuwapa tabu Google, Twitter, Facebook, na Yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.[5][6]

Diskografia

Albamu

Marejeo

  1. Blankstein, Andrew; Phil Willon. "Michael Jackson is dead [Updated]", The LA Times, June 25, 2009. Retrieved on June 25, 2009. 
  2. "AP: Michael Jackson Dies at Los Angeles Hospital". 25-06-2009. Iliwekwa mnamo 25-06-2009.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Special Report with Keith Olberman", MSNBC, June 25, 2009. Retrieved on 2009-06-25. 
  4. http://www.usatoday.com/life/people/2009-06-26-jackson-web-traffic_N.htm
  5. http://www.pcmag.com/article2/0,2817,2349422,00.asp
  6. http://www.computerworld.com/action/article.do?command=viewArticleBasic&articleId=9134896&intsrc=news_ts_head

Viungo vya nje