Spika (muziki) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Spika ya muziki ni chombo kinachobatilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa eletroniki na kuzifanya ziwe sauti. Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa n...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Spika ya muziki ni chombo kinachobatilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa eletroniki na kuzifanya ziwe sauti. Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa na Edward Kellog na Chester Rice mwakani 1925. Spika hufanya kazi kama [[kipaza sauti]]. Tofauti ni kuwa kipaza sauti hubatilisha sauti kuwa audio zilizo kwa mfumo wa kieletroniki ilhali spika nazo hubadilisha kawi hii kuwa sauti.
'''Spika ya muziki''' (kutoka [[Kiingereza]]: [[:en:Loudspeaker|Loudspeaker]]) ni [[chombo]] kinachobadilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa [[elektroniki]] na kuzifanya ziwe [[sauti]].


Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa na [[Edward Kellog]] na [[Chester Rice]] [[mwaka]] [[1925]].
Kwa kawaida, spika huwekwa katika kichumba au kabineti ambayo kwa mara nyingi huwa kwa umbo la [[mstatili]] au [[mraba]]. Kabineti ya spika huenda ikatengenezwa kwa plastiki au mbao. Hili huathiri jinsi sauti itakavyokuwa.

Spika hufanya kazi kama [[kipazasauti]]. Tofauti ni kuwa kipazasauti hubadilisha sauti kuwa audio zilizo kwa mfumo wa kielektroniki ilhali spika nazo hubadilisha kawi hii kuwa sauti.

Kwa kawaida, spika huwekwa katika [[chumba]] au kabineti ambayo mara nyingi huwa na [[umbo]] la [[mstatili]] au [[mraba]]. Kabineti ya spika huenda ikatengenezwa kwa [[plastiki]] au [[mbao]]. Hili huathiri jinsi sauti itakavyokuwa.


== Historia ==
== Historia ==
Johann Phillip Reis aliweka spika ya kieletroniki kwa simu yake mwakani 1861. Spika hii iliweza kutoa sauti nzuri na wazi iliyosikika vizuri na kueleweka.Alexander Graham Bell, mzinduzi wa simu ya kwanza aliidhinisha spika ya [[simu]] yake mwakani 1876. Hili lilifuatwa na uzinduzi mwingine bora na Ernst Siemens.
[[Johann Phillip Reis]] aliweka spika ya kielektroniki kwa [[simu]] yake mwaka [[1861]]. Spika hii iliweza kutoa sauti nzuri na wazi iliyosikika vizuri na kueleweka.
[[Alexander Graham Bell]], mzinduzi wa simu ya kwanza aliidhinisha spika ya [[simu]] yake mwaka [[1876]]. Hili lilifuatwa na uzinduzi mwingine bora na [[Ernst Siemens]].


== Matumizi ya spika leo ==
== Matumizi ya spika leo ==
Spika hutumika nyumbani ikiambatanishwa na [[redio]] au runinga ili kutoa sauti nzuri ya muziki. Spika pia hupatikana katika magari. Kwenye sherehe, mikutano au kwenye mihadhara, spika huambatanishwa na kipaza sauti ili (spika)anayeongea aweze kufikia watu wote na ujumbe wake uwapate.
Spika hutumika [[Nyumba|nyumbani]] ikiambatanishwa na [[redio]] au [[runinga]] ili kutoa sauti nzuri ya [[muziki]]. Spika pia hupatikana katika [[Gari|magari]].
Kwenye [[sherehe]], mikutano au kwenye mihadhara, spika huambatanishwa na kipazasauti ili anayeongea aweze kufikia watu wote na [[ujumbe]] wake uwapate.


== Tanbihi ==
== Tanbihi ==
Tazama [[spika]] kwa maelezo kuhusu mkubwa wa bunge anayeendeleza mijadala.
Tazama [[spika]] kwa maelezo kuhusu mkubwa wa [[bunge]] anayeendesha mijadala.

== Viungo vya nje ==
* [https://www.toolsngadgets.com/cars/best-car-speakers/ Best Car Speakers]


{{tech-stub}}
== Viungo vya Nje ==
[[:en:Loudspeaker|Loudspeakers]]


[[Jamii:Vifaa]]
[https://www.toolsngadgets.com/cars/best-car-speakers/ Best Car Speakers]

Pitio la 11:03, 22 Machi 2018

Spika ya muziki (kutoka Kiingereza: Loudspeaker) ni chombo kinachobadilisha kawi za audio zilizo katika mfumo wa elektroniki na kuzifanya ziwe sauti.

Spika zinazotumika siku hizi zilivumbuliwa na Edward Kellog na Chester Rice mwaka 1925.

Spika hufanya kazi kama kipazasauti. Tofauti ni kuwa kipazasauti hubadilisha sauti kuwa audio zilizo kwa mfumo wa kielektroniki ilhali spika nazo hubadilisha kawi hii kuwa sauti.

Kwa kawaida, spika huwekwa katika chumba au kabineti ambayo mara nyingi huwa na umbo la mstatili au mraba. Kabineti ya spika huenda ikatengenezwa kwa plastiki au mbao. Hili huathiri jinsi sauti itakavyokuwa.

Historia

Johann Phillip Reis aliweka spika ya kielektroniki kwa simu yake mwaka 1861. Spika hii iliweza kutoa sauti nzuri na wazi iliyosikika vizuri na kueleweka.

Alexander Graham Bell, mzinduzi wa simu ya kwanza aliidhinisha spika ya simu yake mwaka 1876. Hili lilifuatwa na uzinduzi mwingine bora na Ernst Siemens.

Matumizi ya spika leo

Spika hutumika nyumbani ikiambatanishwa na redio au runinga ili kutoa sauti nzuri ya muziki. Spika pia hupatikana katika magari.

Kwenye sherehe, mikutano au kwenye mihadhara, spika huambatanishwa na kipazasauti ili anayeongea aweze kufikia watu wote na ujumbe wake uwapate.

Tanbihi

Tazama spika kwa maelezo kuhusu mkubwa wa bunge anayeendesha mijadala.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.