Illuminati : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Ken mukila (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Tags: Rollback Reverted
dNo edit summary
Tags: Manual revert Mobile edit Mobile web edit
Mstari 5: Mstari 5:
Mwanzoni, walipinga [[ushirikina]], [[chuki]], [[ushawishi]] wa [[dini]] juu ya [[maisha]] ya [[umma]], na ukiukwaji wa nguvu za [[serikali]]. Waliunga mkono [[elimu]] kwa [[wanawake]] na [[usawa]] wa [[jinsia]].
Mwanzoni, walipinga [[ushirikina]], [[chuki]], [[ushawishi]] wa [[dini]] juu ya [[maisha]] ya [[umma]], na ukiukwaji wa nguvu za [[serikali]]. Waliunga mkono [[elimu]] kwa [[wanawake]] na [[usawa]] wa [[jinsia]].


Illuminati pamoja na [[Wamasoni|Freemasonry]] na vyama vingine vya siri vilipigwa marufuku kwa [[amri]] ya [[Charles Theodore]] mteule wa [[Bavaria]], kwa kutiwa moyo na [[Kanisa Katoliki]], mnamo [[1784]], [[1785]], [[1787]] na [[1790]].
Illuminati pamoja na [[Wamasoni|Freemasonry]] na vyama vingine vya siri vilipigwa marufuku kwa [[amri]] ya [[Charles Theodore]] mteule wa [[Bavaria]], kwa kutiwa moyo na [[Kanisa Katoliki]], mnamo [[1784]], [[1785]], [[1787]] na [[17

Katika miaka iliyofuata, kikundi hicho kilishutumiwa kwa ujumla na wakosoaji wa kihafidhina na wa kidini ambao walidai kwamba Illuminati iliendelea kwa [[siri]] na ilihusika na [[mapinduzi]] [[Mapinduzi ya Ufaransa|ya nchini]] [[Ufaransa]].

Wasomi wengi wenye ushawishi mkubwa na [[wanasiasa]] walijihesabu kuwa wanachama akiwemo [[Ferdinand wa Brunswick]] na [[mwanadiplomasia]] [[Franz Xaver von Zach]], ambaye alikuwa mtoa [[amri]] wa pili. [[Wanafasihi]] kama vile [[Johann Wolfgang von Goethe]] na [[Johann Gottfried Herder]] na [[Duke]] anayetawala [[Gotha]] na [[Weimar]] walivuwa.

Baadaye yakatokea [[Kundi|makundi]] mengine yaliyotumia [[jina]] [[moja]]. Hakuna [[ushahidi]] kwamba makundi ya sasa yana [[nguvu]] au ushawishi mkubwa. Wanajiendeleza kwa kutumia jina la Illuminati ya Bavaria ili kuvutia uana[[chama]].

Kwa matumizi mengine ''Illuminati'' imetumiwa wakati wa kuresha [[mashirika]] mbalimbali ambayo yanadaiwa kuwa ni mwendelezo wa Illuminati ya [[asili]] ya [[Bavaria]]. Mashirika hayo mara nyingi yamekuwa yakishutumiwa kwa kula [[njama]] za kudhibiti mambo ya [[ulimwengu]], kwa kupanga [[matukio]] na kuweka mawakala serikalini na kwenye mashirika ili kupata [[mamlaka]] na ushawishi wa [[siasa|kisiasa]] na kuanzisha mfumo mpya wa [[ulimwengu]]. Mtazamo huu wa Illuminati umepata [[tafsiri]] katika mitazamo mbalimbali maarufu, ikionekana katika [[riwaya]] nyingi, [[filamu]], maonyesho ya [[televisheni]], [[katuni]], na video za [[muziki]].
{{mbegu}}

[[Jamii:Elimu jamii]]

Pitio la 09:13, 30 Novemba 2023

Ishara ya illuminati
Jicho la Mungu mara nyingi husemekana kuwa ishara ya Illuminati. Linapatikana juu ya piramidi nyuma ya muhuri wa dola ya Marekani, nyuma ya Muhuri Mkuu wa Marekani na nyaraka nyingine rasmi.
Adam Weishaupt (1748–1830), Mwanzilishi wa Illuminati

Illuminati (maana ya Kilatini: "wale walioangazwa") ilikuwa jamii ya siri. Adamu Weishaupt, mwanafalsafa na mwanasheria, alianzisha jamii hiyo mwaka wa 1776.

Mwanzoni, walipinga ushirikina, chuki, ushawishi wa dini juu ya maisha ya umma, na ukiukwaji wa nguvu za serikali. Waliunga mkono elimu kwa wanawake na usawa wa jinsia.

Illuminati pamoja na Freemasonry na vyama vingine vya siri vilipigwa marufuku kwa amri ya Charles Theodore mteule wa Bavaria, kwa kutiwa moyo na Kanisa Katoliki, mnamo 1784, 1785, 1787 na [[17