Loje

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Loje ni kata ya Wilaya ya Chamwino katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41432[1].

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 7,916 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5134 [3] waishio humo.

Loje ina mchanganyiko wa makabila kulingana na mwingiliano wa shuguli za uvuvi kando ya bwawa la Mtera, lakini lugha inayotawala ni Kigogo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-03-21. Iliwekwa mnamo 2017-10-08.
  2. https://www.nbs.go.tz
  3. Sensa ya 2012, Dodoma - Chamwino DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2016-05-18.
Kata za Wilaya ya Chamwino - Mkoa wa Dodoma - Tanzania

Buigiri | Chamwino mjini | Chiboli | Chilonwa | Chinugulu | Dabalo | Fufu | Handali | Haneti | Huzi | Idifu | Igandu | Ikombolinga | Ikowa | Iringa Mvumi | Itiso | Loje | Majeleko | Makang'wa | Manchali | Manda | Manzase | Membe | Mlowa Barabarani | Mlowa Bwawani | Mpwayungu | Msamalo | Msanga | Muungano | Mvumi Makulu | Mvumi Misheni | Nghahelezi | Nghambaku | Nhinhi | Segala | Zajilwa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Dodoma bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Loje kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.