Nenda kwa yaliyomo

Leza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Leza (chombo))
Leza Nyekundu(660 & 635 nm), kijani(532 & 520 nm) na bluu (445 & 405 nm)

Leza (kutoka Kiingereza laser, akronimi ya fungu la maneno "Light Amplification by Stimulated Emission of Radiation"[1][2]) ni chombo cha kukuza na kushadidisha miali kuelekea upande mmoja kutengeneza mwangaza leza.

Kifaa hiki ni maalumu, si kama taa nyingine za kutoa mwangaza na miali yake ina matumizi mengi.

Historia

Leza ina historia kubwa na ni mojawapo wa nyanja zilizofanyiwa utafiti mkubwa tangu mwaka 1917. Utafiti wa leza umekua kutokana na utafiti wa mnururisho (radiation) na utafiti wa usumakuumeme (electromagnetism).

Manufaa ya leza

Leza ina matumizi mengi yakiwemo:

Tanbihi

  1. 1.0 1.1 NASA (25 Mei 2017). "What is a laser? :: NASA Space Place". spaceplace.nasa.gov (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-07-09.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Lawrence Livermore National Laboratory. "How Lasers Work". lasers.llnl.gov (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2018-07-09.
  3. Glaucoma Research Foundation (25 Agosti 2017). "Laser Surgery". Glaucoma Research Foundation (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-11-14. Iliwekwa mnamo 9 Julai 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

Marejeo

Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.