Elesbaan
Kalebu bin Tazena[1](maarufu kama Elesbaan[2]; alifariki 540/555 hivi) alikuwa mfalme wa Aksum mwanzoni mwa karne ya 6, ambaye ufalme wake ulienea katika Eritrea na Jimbo la Tigray, Ethiopia ya leo.
Kalebu alivamia Yemen mwaka 520 hivi ili kumuadhibu mfalme Myahudi Yusuf Asar Yathar, maarufu kama Dhu Nuwas, aliyeangamiza Wakristo wa Najran. Baada ya mapigano mengi alipata ushindi na kumweka Mkristo mwenyeji Sumuafa' Ashawa' (Esimiphaios) kutawala Himyar kwa niaba yake[3].
Baada ya kupeleka taji lake Yerusalemu, wakati wa kaisari Yustino, inasadikika kwamba hatimaye Kalebu alijiuzulu akajiunga na monasteri kama alivyotamani kabla hajamrudia Mungu.[4]
Kutokana na kutetea Wakristo wa Uarabuni, Kalebu anajulikana na kuheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama Mtakatifu Elesbaan.[5][6][7]
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Mei[8], 28 Mei[9][10], 24 Oktoba[11][12], 27 Oktoba[13][14] au 6 Novemba.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Aretha mfiadini
- Ruma
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ S. C. Munro-Hay, Aksum: An African Civilization of Late Antiquity (Edinburgh: University Press, 1991), p. 84.
- ↑ At Aksum, in inscription RIE 191, his name is rendered in unvocalized Gə‘əz as KLB ’L ’ṢBḤ WLD TZN (Kaleb ʾElla ʾAṣbeḥa, son of Tazena). In vocalized Gə‘əz, it is ካሌብ እለ አጽብሐ, Kaleb ʾƎllä ʾAṣbəḥa. Procopius calls him "Hellestheaeus", a variant of Ελεσβόάς version of his regnal name, እለ አጽብሐ, ʾƎllä ʾAṣbəḥa (Histories, 1.20). Variants of his name are Hellesthaeus, Ellestheaeus, Eleshaah, Ellesboas, and Elesboam.
- ↑ Axumite control of Arabia Felix continued until c.525 when Sumuafa' Ashawa' was deposed by Abraha, who made himself king. Procopius states that Kaleb made several unsuccessful attempts to recover his overseas territory; however, his successor later negotiated a peace with Abraha, where Abraha acknowledged the Axumite king's authority and paid tribute. Munro-Hay opines that by this expedition Axum overextended itself, and this final intervention across the Red Sea, "was Aksum's swan-song as a great power in the region."Munro-Hay, Aksum, p. 88.
- ↑ Munro-Hay, Aksum, pp. 88f.
- ↑ Alban Butler; Peter Doyle (1996). "SS Aretas and the Martyrs of Najran, and St Elsebann (523)". Alban Butler. Liturgical Press. uk. 169. ISBN 978-0-8146-2386-2.
- ↑ R. Fulton Holtzclaw (1980). The Saints go marching in : a one volume hagiography of Africans, or descendants of Africans, who have been canonized by the church, including three of the early popes. Shaker Heights, OH: Keeble Press. uk. 64. OCLC 6081480.
St. Elesbaan was an Aksumite king of Ethiopia who recovered the royal power in Himyar (Yemen) after the massacre of the Martyrs of Najran.
- ↑ Vincent J. O'Malley, C.M. (2001-09-02). Saints of Africa. Huntington, IN: Our Sunday Visitor Publishing. ISBN 978-0-87973-373-5.
- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ Synaxarium. Ginbot 20 (May 28) Ilihifadhiwa 15 Agosti 2019 kwenye Wayback Machine.. Ethiopian Orthodox Tewahedo Debre Meheret St. Michael Church. Retrieved: 2012-10-30.
- ↑ Synaxarium: The Book of the Saints of The Ethiopian Orthodox Tewahedo Church. Transl. of Sir E.A. Wallis Budge. Printed by the Ethiopian Orthodox Tewahedo Debre Meheret St. Michael Church, Garland, TX USA. p.764.
- ↑ Blessed Elezboi, Emperor of Ethiopia. HOLY TRINITY RUSSIAN ORTHODOX CHURCH (A parish of the Patriarchate of Moscow).
- ↑ Blessed Elesbaan the King of Ethiopia. OCA - Feasts and Saints.
- ↑ "In Ethiopia, St. Elesbaan, king, who, after having defeated the enemies of Christ and sent his royal diadem to Jerusalem, in the time of the emperor Justin, led a monastical life, as he had vowed, and went to his reward." The Roman Martyrology. Transl. by the Archbishop of Baltimore. Last Edition, According to the Copy Printed at Rome in 1914. Revised Edition, with the Imprimatur of His Eminence Cardinal Gibbons. Baltimore: John Murphy Company, 1916. p.331.
- ↑ https://catholicsaints.info/saint-elesbaan-of-ethiopia/
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Blessed Elesbaan the King of Ethiopia Eastern Orthodox synaxarion
- Elesbaan, king, hermit, and saint of Ethiopia entry from the Dictionary of Christian Biography and Literature to the End of the Sixth Century A.D., by Henry Wace
- Catholic Online: Saint Elesbaan
- Katolsk.no: Elesbaan
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |