Kachuo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kachuo ni kitongoji kilichopo katika kijiji cha Nyamatongo kata ya Kamanga wilayani Sengerema mkoani Mwanza.

Wakazi wake ni mchanganyiko wa makabila kama vile Wasukuma, Wasumbwa,Wazinza na makabila mengineyo yanayo lizunguka Ziwa Nyanza(Viktoria).

Katika kitongoji hiki wakazi wake wanajishughulisha na shughuli za Uvuvi, Kilimo, Ufugaji na Biashara.