Kamanga
Mandhari
Kamanga ni kijiji katika Wilaya ya Sengerema, Mkoa wa Mwanza, chenye idadi ya watu karibu 5,000.
Kiko kando ya vijiji vingine vinne, ambavyo kwa jumla vinaunda kata ya Nyamatongo. Kata hiyo ina wakazi karibu 30,000.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-26. Iliwekwa mnamo 2020-09-09.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kamanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |