Nyamatongo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Nyamatongo ni kata ya Wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 26,707 waishio humo.[1]

Asili ya wenyeji wa kata hii ni kabila la Wazinza. Kwa sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wahamiaji ambao ni Wakara, Wakerewe, Wajita na Wasukuma ambao wanameza wenyeji kwa idadi.

Msimbo wa posta ni 33334.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bulyaheke | Bupandwa | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Igalula | Igulumuki | Irenza | Kafunzo | Kagunga | Kalebezo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Katwe | Kazunzu | Kishinda | Lugata | Maisome | Mwabaluhi | Nyakaliro | Nyakasasa | Nyakasungwa | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyampande | Nyampulukano | Nyanzenda | Nyatukala | Nyehunge | Sima | Tabaruka

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyamatongo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.