Buyagu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Buyagu ni kata ya Wilaya ya Sengerema katika Mkoa wa Mwanza, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,483 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 33333.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Sengerema - Mkoa wa Mwanza - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Bulyaheke | Bupandwa | Busisi | Buyagu | Buzilasoga | Chifunfu | Ibisabageni | Igalula | Igulumuki | Irenza | Kafunzo | Kagunga | Kalebezo | Kasenyi | Kasungamile | Katunguru | Katwe | Kazunzu | Kishinda | Lugata | Maisome | Mwabaluhi | Nyakaliro | Nyakasasa | Nyakasungwa | Nyamatongo | Nyamazugo | Nyampande | Nyampulukano | Nyanzenda | Nyatukala | Nyehunge | Sima | Tabaruka

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mwanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Buyagu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.

Shughuli wanazofanya wakazi wa kata ya Buyangu ni Kilimo, Ufugaji na Uvuvi. Kilimo wanachojishulisha nacho ni kilimo cha kujikimu cha mazao ya Chakula kama Mihogo, Viazi, mahindi, Mpunga, Mtama, Maharagwe na mazao mengine. Kilimo cha Biashara ni cha Zao la Pamba, kilimo hicho kinalimwa katika vijiji vyote vinaunda kata hiyo. Zao hili la pamba limezidi kushuka kulingana na kushuka kwa bei ya pamba pamoja na kupanda kwa pembejeo za kilimo hicho, pia kushuka kw uzalishaji wa kilimo hicho inatokana na kufungwa kiwanda cha BUYAGU GINNERY ilikuwa inanunua na inachambua pamba katika Kata na maeneo mbali mbali ya ndani na nje ya Kata hiyo.

Shughuli za Uvuvi ni miongoni mwa kazi zinazofanywa na wakazi wa kata hiyo, Shughuli za Uvuvi zinafanyika katika Ziwa Victoria, hivyo kuwasaidia wakazi wa eneo hilo kwa Biashara ya Samaki na Mboga.