Jimbo la Uchaguzi la Nambale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la Uchaguzi la Nambale ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia nchini Kenya, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Philip J. Wanyama Masinde KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Philip J. Wanyama Masinde KANU
1997 Chrysanthus Okemo KANU
2002 Chrysanthus Okemo KANU
2007 Chrysanthus Okemo ODM

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Bulanda 1,839 Busia (Mji)
Burumba 3,996 Busia (Mji)
Mayenje 1,709 Busia (Mji)
Mjini 5,707 Busia (Mji)
Kisoko 2,555 Nambale (Mji)
Lwanyange 1,171 Nambale (Mji)
Manyole 2,314 Nambale (Mji)
Tangakona / Khwirale 4,152 Nambale (Mji)
Bukhayo Central 4,527 Busia County
Bukhayo East 7,029 Busia County
Bukhayo North / Walatsi 5,685 Busia County
Matayos North 11,131 Busia County
Matayos South 9,825 Busia County
Jumla 61,640
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]