Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Mwingi Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Mwingi Kaskazini ni moja kati ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Kitui, Mashariki mwa Kenya, likiwa miongoni mwa majimbo mawili katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1997. Mbunge wake wa sasa Kalonzo Musyoka awali alikuwa akiliwakilisha jimbo la Kitui Kaskazini kabla ya jimbo hilo kutawanywa kabla ya uchaguzi wa 1997.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997Kalonzo MusyokaKANU
2002Kalonzo MusyokaNARC
2007Kalonzo MusyokaODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Endui7,774
Kakuyu21,033
Kamuwongo7,825
Kanthungu5,889
Kanzanzu6,639
Katse7,516
Kimangao12,372
Kyuso11,343
Mitamisyi5,958
Mivukoni9,001
Musavani9,074
Musyungwa8,279
Mutanda4,114
Mwingi37,833
Ngomeni6,713
Nguni11,199
Tharaka5,935
Tseikuru10,643
Waita12,898
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Kakuyu / Mukong'a5,596Mwingi County
Kanzanzu2,492Mwingi (Mji)
Katse / Mutanda / Nguuku5,205Mwingi County
Kimangau4,263Mwingi County
Kivou / Enziu3,848Mwingi (Mji)
Kyuso / Kamuw'ongo6,133Mwingi County
Masyungwa / Mivukoni6,285Mwingi County
Mitamisyi / Ngomeni4,579Mwingi County
Mwingi / Ithumbi3,509Mwingi (Mji)
Nguni3,688Mwingi County
Tharaka / Kanthungu3,351Mwingi County
Tseikuru / Musavani6,639Mwingi County
Waita / Endui6,784Mwingi County
Jumla62,372
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]