Jimbo la Uchaguzi la Kwanza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo la Uchaguzi la Kwanza ni Mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. NI moja kati ya Majimbo matatu katika Wilaya ya Trans-Nzoia. Jimbo hili lina wodi saba, kila moja ikichagua madiwani kwa baraza la Nzoia County.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

JImbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Noah Wekesa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 George Kapten Ford-K
1997 George Kapten Ford-K Kapten aliaga dunia mnamo Desemba 1999, ikipelekea Uchaguzi Mdogo [2]
2000 Noah Wekesa Ford-K
2002 Noah Wekesa NARC
2007 Noah Wekesa PNU

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojiandikisha
Chepchoina 8,871
Endebess 8,610
Kaibei 7,346
Kaisagat 7,123
Kapomboi 11,944
Kapsitwet 6,791
Kwanza 9,336
Total 60,021
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]

  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007
  2. Daily Nation, 17 Aprili 2000: Kanu loss in by-election more than a triumph for opposition party
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency