Eneo bunge la Kwanza
Mandhari
Eneo bunge la Kwanza ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo matano katika Kaunti ya Trans-Nzoia. Jimbo hili lina wodi saba, kila moja ikichagua madiwani kwa baraza la Kaunti.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Noah Wekesa | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | George Kapten | Ford-K | |
1997 | George Kapten | Ford-K | Kapten aliaga dunia mnamo Desemba 1999, ikipelekea Uchaguzi Mdogo [2] |
2000 | Noah Wekesa | Ford-K | |
2002 | Noah Wekesa | NARC | |
2007 | Noah Wekesa | PNU |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura waliojiandikisha |
---|---|
Chepchoina | 8,871 |
Endebess | 8,610 |
Kaibei | 7,346 |
Kaisagat | 7,123 |
Kapomboi | 11,944 |
Kapsitwet | 6,791 |
Kwanza | 9,336 |
Total | 60,021 |
*Septemba 2005 [3].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Daily Nation, 17 Aprili 2000: Kanu loss in by-election more than a triumph for opposition party
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kwanza kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |