Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Emuhaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Emuhaya ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Vihiga, Magharibi wa nchi, miongoni mwa majimbo matano katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Kinara wa Bunge Kenneth Marende wa Orange Democratic Movement (ODM)]] ambay hatimaye alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Mnamo Januari 2008.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963 Edward Eric Khasakhala KADU
1969 Wilson Mukuna KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Wilson Mukuna KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Edward Eric Khasakhalaa KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Edward Eric Khasakhala KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 Samuel Muhanji KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1989 Wilson Mukuna KANU Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Sheldon Muchilwa KANU
1997 Sheldon Muchilwa KANU
2002 Kenneth Marende NARC
2007 Kenneth Marende ODM Marende alichaguliwa kuwa spika huku akikiacha kiti hicho wazi
2008 Wilbur Ottichilo ODM Uchaguzi Mdogo
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Central Bunyore 10,256 Vihiga county
Emabungo 7,016 Luanda (Mji)
Emuhaya North 13,975 Vihiga county
Luanda 8,593 Luanda (Mji)
Luanda South 5,418 Vihiga county
Mukhalakhala 6,033 Luanda (Mji)
Mwibona 4,305 Luanda (Mji)
Wemilabi 9,232 Luanda (Mji)
West Bunyore 6,234 Vihiga county
Jumla 71,062
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]