Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Emuhaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Emuhaya ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Vihiga, Magharibi wa nchi, miongoni mwa majimbo matano katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963. Baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2007, jimbo hili lilikuwa likiwakilishwa na Kinara wa Bunge Kenneth Marende wa Orange Democratic Movement (ODM)]] ambay hatimaye alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge Mnamo Januari 2008.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Edward Eric KhasakhalaKADU
1969Wilson MukunaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Wilson MukunaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Edward Eric KhasakhalaaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Edward Eric KhasakhalaKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Samuel MuhanjiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1989Wilson MukunaKANUUchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992Sheldon MuchilwaKANU
1997Sheldon MuchilwaKANU
2002Kenneth MarendeNARC
2007Kenneth MarendeODMMarende alichaguliwa kuwa spika huku akikiacha kiti hicho wazi
2008Wilbur OttichiloODMUchaguzi Mdogo
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Central Bunyore10,256Vihiga county
Emabungo7,016Luanda (Mji)
Emuhaya North13,975Vihiga county
Luanda8,593Luanda (Mji)
Luanda South5,418Vihiga county
Mukhalakhala6,033Luanda (Mji)
Mwibona4,305Luanda (Mji)
Wemilabi9,232Luanda (Mji)
West Bunyore6,234Vihiga county
Jumla71,062
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]