Jimbo la Uchaguzi la Aldai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Jimbo la Uchaguzi la Aldai ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Nandi miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.

Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966 John K. Cheruiyot KANU
1969 Simeon Kiptum arap Choge KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1974 Simeon Kiptum arap Choge KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1979 Samuel Kibiebei arap Ngeny KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1983 Samuel Kibiebei arap Ngeny KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1988 John Kiplagat Cheruiyot KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 J. Paul Titi KANU
1997 Simeon Kiptum Choge KANU
2002 Jimmy Choge KANU
2007 Sally Kosgey ODM

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga KUra Waliojiandikisha
Chemase 2,630
Chepkumia 5,831
Kabwareng 6,588
Kaptumo 4,553
Kemeloi 6,017
Kibwareng / Chebilat 6,317
Koyo 2,736
Maraba 4,022
Ndurio 3,573
Terik 6,526
Jumla 48,793
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]