Nenda kwa yaliyomo

InterContinental

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hoteli ya Intercontinental The Grand, jijini Delhi, India

InterContinental ni aina za hoteli za anasa za hali ya juu, ilioanzishwa na Pan Am, chini ya Juan Trippe, na sasa inamilikiwa na Intercontinental Hotels Group. Ina mlolongo wa takriban hoteli 200 kwenye mataifa takriban 75.

Historia[hariri | hariri chanzo]

InterContinental ilianzishwa mwaka wa 1946 na hoteli ya kwanza ilifunguliwa jijini Belem, Brazili. Mwaka wa 1981, kampuni ya InterContinental Hotels Corporation iliuzwa kwa kampuni ya Uingereza inayoitwa Grand Metropolitan. GrandMet iliuza IHG kwa kampuni ya Ujapani iitwayo Saison Group, mnamo 1988. Mwaka wa 1998, kampuni ya Bass plc ilinunua IHC.

Hoteli mashuhuri kulingana na bara[hariri | hariri chanzo]

Amerika ya Kaskazini[hariri | hariri chanzo]

 • Intercontinental Los Angeles, mjini Century City, Los Angeles, California, Marekani.
 • Intercontinental Kansas City katika Plaza, mjini Kansas City, Kansas City, Missouri, Marekani.
 • Intercontinental Boston, mjini Boston, Massachusetts, Marekani.
 • Intercontinental The Barclay, mjini New York City, New York, Marekani.
 • Intercontinental Chicago, mjini Chicago, Illinois, Marekani.
 • Intercontinental Cleveland, mjini Cleveland, Ohio, Marekani.
 • Intercontinental Harbor Court Baltimore, mjini Baltimore, Maryland, Marekani.
 • Intercontinental Houston, mjini Houston, Texas, Marekani.
 • Intercontinental Miami, mjini Miami, Marekani.
 • Intercontinental Mark Hopkins San Francisco, iliyopo Nob Hill, mjini San Francisco, Marekani.
 • Intercontinental Milwaukee, mjini Milwaukee, Wisconsin, Marekani.
 • Intercontinental New Orleans, mjini New Orleans, Louisiana, Marekani.
 • Willard intercontinental Washington, mjini Washington, DC, Marekani.
 • Intercontinental The Clement Monterey, mjini Monterey, California, Marekani.
 • Intercontinental San Francisco, mjini San Francisco, California, Marekani.
 • Intercontinental Montelucia Resort & Spa, mjini Paradise Valley, Arizona, Marekani.
 • Intercontinental Toronto-Center, mjini Toronto, Ontario, Kanada
 • Intercontinental Toronto-Yorkville, Toronto, Ontario, Kanada
 • Intercontinental Montreal, mjini Montreal, Quebec, Kanada

Amerika ya Kati[hariri | hariri chanzo]

 • Real intercontinental Guatemala , mjini Guatemala City, Guatemala.
 • Real intercontinental San Salvador, mjini San Salvador, El Salvador.
 • Real intercontinental Tegucigalpa, mjini Honduras.
 • Real intercontinental San Pedro Sula, mjini San Pedro Sula, Honduras.
 • Verkliga intercontinental Managua Metrocentro, mjini Managua, Nikaragua.
 • Real intercontinental Hotel & Club Tower Costa Rica, mjini San Jose, Costa Rica.
 • Intercontinental Miramar Panama, katika mji wa Panama, Panama.
 • Intercontinental Playa Bonita Resort & Spa, katika mji wa Panama, Panama.

Amerika Kusini[hariri | hariri chanzo]

 • Intercontinental Cali, mjini Cali, Colombia.
 • Intercontinental Medellín, mjini Medellín, Kolombia.

Ulaya[hariri | hariri chanzo]

 • Intercontinental Amstel Amsterdam, mjini Amsterdam, Uholanzi.
 • Athenaeum intercontinental, mjini Athens, Ugiriki.
 • Intercontinental Budapest Hotel, mjini Budapest, Hungary.
 • Intercontinental Bukarest, mjini Bukarest, Romania.
 • Intercontinental Berlin, mjini Berlin, Ujerumani.
 • Intercontinental Carlton Cannes, mjini Cannes, Ufaransa.
 • Intercontinental Düsseldorf, mjini Düsseldorf, Ujerumani.
 • Intercontinental Frankfurt, mjini Frankfurt am Main, Ujerumani.
 • Intercontinental Geneva, mjini Geneva, Uswisi
 • Ceylan intercontinental Istanbul, mjini Istanbul, Uturuki.
 • Intercontinental London Park Lane Hotel, mjini London, Uingereza.
 • Intercontinental Praha, mjini Prague, Jamhuri ya Kicheki .
 • Intercontinental Warszawa, mjini Warsaw, Poland.
 • Intercontinental Kiev Hotel mjini Kiev, Ukraine.
 • Intercontinental iliyopo Aphrodite Hills, mjini Pafo, Cypern.

Asia[hariri | hariri chanzo]

Afrika[hariri | hariri chanzo]

Australasia[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]